October 2, 2015


Bondia Cosmas Cheka, amefanikiwa kuingia kwenye rekodi ya mabondia wa Tanzania waliobeba ubingwa wa dunia.
 Cheka ambaye ni mdogo wake na bingwa mwingine wa dunia, Francis Cheka amemtwanga bondia wa Thailand leo akiwa nyumbani kwao na kubeba ubingwa huo wa dunia.
 Licha ya kwenye rekodi ya mabondia waliowahi kubeba ubingwa wa dunia akiwemo kaka yake Cheka, pia ameingia kwenye rekodi ya mmoja wa mabondia waliobeba ubingwa wa dunia wakiwa nje ya ardhi ya Tanzania.
 Wengine waliowahi kubeba ubingwa wa dunia wakiwa nje ya ardhi ya Tanzania ni marehemu Magoma Shabani aliyebeba ubingwa wa dunia wa WBU nchini Italia.

Mwingine ni Rashid Matumla aliyebeba ubingwa wa dunia wa IBU nchini Afrika Kusini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic