Mwandishi Wetu, Afrika Kusini
Kikosi
cha Taifa Stars kiliendelea na mazoezi yake jana na leo pia kitafanya mara
mbili kwa siku chini ya Kocha Charles Boniface Mkwasa.
Stars
inafanya mazoezi katika eneo la Woodmid jijini Johannesburg, Afrika Kusini
kujiandaa na mechi yake dhidi ya Algeria, Novemba 14.
Mkwasa
amesema mazoezi yataendelea leo na wamekuwa wakifanya mazoezi makali ili
kuhakikisha wako vizuri.
Angalia
picha za mazoezi ya jana jioni yalivyokuwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment