CHINI YA KLOPP, LIVEPOOL YAPATA USHINDI MWINGINE IBE AKIWA SHUJAA WA MCHEZO Liverpool imeendelea kung’ara chini ya Kocha Jurgen Klopp na kuichapa Rubin Kazan kwa bao 1-0 katika michuano ya Europa. Shujaa wa Liverpool ni ‘dogo’ Jordon Ibe aliyefunga bao hilo pekee. Cheki Pichaaaz.
0 COMMENTS:
Post a Comment