Kocha Jurgen Klopp
ameonyesha kuwa uwezo mkubwa wa kujiamini akiwa na Liverpool inayoonekana kama
haina kitu.
Maana kwa mechi tano
mfululizo, Mjerumani huyo amekuwa akibadili kikosi kuonyesha kuna kikosi
anachokitafuta na raha zaidi, hajapoteza hata mara moja.
|
ANGALIA KLOPP ALIYOANZA TOFAUTI MECHI ZOTE TANO:
1: Tottenham 0 Liverpool 0 – Premier League.
2: Liverpool 1 Rubin Kazan 1 – Europa League. 3: Liverpool 1 Southampton 1 –Premier League.
4: Liverpool 1 Bournemouth 0 – Capital One.
5: Chelsea 1 Liverpool 3 – Premier League. 6: Rubin Kazan 0 Liverpool 1 – Europa League
|
0 COMMENTS:
Post a Comment