November 6, 2015


Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano ameitaja tano bora ya wachezaji bora duniani wanaochipukia.


Ronaldo amewataja Eden Hazard wa Chelsea, Neymar wa Barcelona na Paul Pogba wa Juventus kuwa sehemu ya tano bora yake ya wachezaji bora vijana duniani.


Raia huyo wa Ureno ambaye anashikilia tuzo ya mchezaji bora pia amewataja kinda Odegaard  anayecheza naye Madrid na kiungo mpya wa Man United, Memphis Depay kuwa ni kati ya vijana hatari wanaochipukia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic