Zlatan Ibrahimovic amepiga
bao mbili na kuisaidia Paris Saint-Germain kuinyoosha Toulouse kwa mabao 5-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya Ufaransa maarufu kama League One, jana.
Katokana na ushindi huo,
PSG sasa imepaa kwa pointi na kuifanya iongoze kwa tofauti ya pointi 13.
Pamoja na Ibrahimovic kupiga
bao mbili, wengine waliotupia ni hiyo jana ni Angel Di Maria, Lucas Moura na
Ezequiel Lavezzi.
0 COMMENTS:
Post a Comment