December 15, 2015


Floyd Mayweather ameendelea kula bata huko Dubai, UAE. 

Mkali huyo alisafiri kutoka Marekani akiwa amebeba watu wengine 24 aliojumuika nao katika kipindi cha mapumziko huko Dubai.

Kilichowavutia wengi ni picha zake za mtandao wa kijamii wa Instagram akiwa amevalia vazi la Kiarabu, kanzu na hegal maarufu kama Kandora huko Dubai.

Mayweather anaonekana kuwa mtulivu ndani ya vazi hilo ambalo siku ya kwanza, lilizua gumzo mitandaoni.


AKIWA NA WASHKAJI ZAKE...


AKIWA NA MSAIDIZI WAKE WA KAZI...



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic