Baada ya kuifumua Stand United kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, Yanga imeendelea na mazoezi.
Yanga imejifua kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam huku Kocha Hans van der Pluijm akiwafundisha wachezaji wake namna ya kufunga na kuzuia. Cheki pichaz.
0 COMMENTS:
Post a Comment