Baada ya kufanikiwa kuifunga timu ngumu ya Swansea kwa mabao 2-1, wachezaji wa Man Ciyt wamejumuika pamoja kwenda klabu kujirusha.
Ilikuwa ni kama sehemu maalum kwa ajili ya sherehe za mwanzo wa sikukuu ya Krismasi.
Wachezaji hao wakiongozwa na Waafrika Yaya Toure, Wilfred Bony walisherekea pamoja huku wakisubiri wikiendi ijayo kusafiri hadi London kuivaa Arsenal ambayo wanafukuzana nayo kileleni.
0 COMMENTS:
Post a Comment