December 15, 2015



Mshambuliaji Jamie Vardy amewaandikia mashabiki wa klabuya Leicester City kluwashukuru namna ambavyo wamekuwa wakimuunga mkono yeye pamoja na kikosi kizima hali inayowafanya waone wapo pamoja nao na ndiyo maana wanaendelea kupambana.


Ujumbe huo uliwekwa kwenye kila kiti kwenye Uwanja wa King Power kabla ya mechi ya Chesea ambayo Leicester ikiwa nyumbani ilishinda kwa mabao 2-1.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic