Anthony Joshua amethibitisha kwamba kweli ni mbaya, baada ya kumtwanga mpinzani wake mkubwa Dillian Whyte kea KO katika raundi ya saba.
Pamoja hilo la usito wa juu kwenye Ukumbi wa O2 jijini London lilikuwa kali na la kuvutia.
Pamoja na kushindwa, Whyte alitoa upinzani katika raundi za mwanzo na mara kadhaa kulikuwa na mvutano mkali wa kimzozo kati ya mabondia hap wawili.
Ushindi huo wa uzito wa juu unamfanya Joshua kuwa amecheza mapambano 15 na kushinda tote tena kwa KO.



















0 COMMENTS:
Post a Comment