December 18, 2015


Kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga,  Issofou Boubacar leo amekabidhiwa jezi namba 14.
Boubacar raia wa Niger amesema anaamini Yanga una kikosi bora kabisa, hivyo atakutaka na ushindani wa juu.

“Kunapokuwa na ushindani kunamsaidia mtu kukua kwa kuwa ni changamoto nyingi. Hivyo nitajitahidi ili kupata nafasi,” alisema.


Kiungo huyo ametua nchini mwishoni mwa usajili wa dirisha dogo na akafanikiwa kufanya majaribio siku mbili kabla ya kusajiliwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic