|
KAANGA PHOTO.....KAAAAAA |
Bayern Munich imewapa mkataba wachezaji wake watatu Jerome Boateng, Javi Martinez na Thomas Muller ambao utamalizika mwaka 2021.
Pamoja na wachezaji hao watatu kudumu kwa muda wote huo, mkongwe Xabi Alonso naye ameongezewa mkataba hadi mwaka 2017.
0 COMMENTS:
Post a Comment