Majimaji imeonyeshwa utamu wa Ligi Kuu Bara baada ya kutandikwa kwa mabao 5-1 na wageni wao Toto African.
Toto African ambayo ilisafiri hadi Songea, imeibuka na ushindi huo mnono ukiwa ni wa kwanza mkubwa kwake msimu huu.
Mechi nyingine Kagera Sugar ikiwa nyumbani imeshindwa kutamba kwa kulazimishwa sare ya bao 1-1.







0 COMMENTS:
Post a Comment