December 12, 2015

MWADUI FC
Ubishi umeisha kama unazungumzia suala la utani na upinzani baada ya Stand United kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Mwadui FC.

Shinyanga Derby imeisha kwa kikosi cha Jamhuri Kihwelo 'Julio' kuibuka na ushindi huo na kumaliza ubishi.

Mechi ilikuwa kali na ya upinzani mkubwa kutoka kila upande lakini Mwadui FC ilionekana kuwa na nafasi nzuri ya kushinda ushindi mkubwa zaidi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic