MWALUPANI NA MKEWE |
Beki wa kati wa Coastal Union, Ernest Mwalupani, ameukimbia ukapera, sasa ni “Mume wa mtu” baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi, Upendo Mbyopyo, juzi Jumamosi.
Mwalupani aliyekuwa na ruhusa ya wiki moja kubaliza suala hilo la ndoa alionekana mwenye furaha wakati ikifungwa kwenye Kanisa la KKKT, Segerea D jijini Dar es Salaam.
Kabla ya kutua Coastal Union, Mwalupani alikipiga Kagera Sugar kwa zaidi ya misimu miwili kabla ya kutua Ndanda FC.
MWALUPANI (WA KWANZA KUSHOTO) WAKATI AKIWA NDANDA. |
MWALUPANI (KUSHOTO) WAKATI AKIWA KAGERA SUGAR |
0 COMMENTS:
Post a Comment