COASTAL UNION |
Baada ya Yanga kucheza mechi 15 bila kupoteza hata moja, jana kwa mara ya kwanza imeonja kipigo kupitia kwa wababe wake wapya, Coastal Union.
Coastal Union walikuwa wanalipa kisasi baada ya kipigo cha mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, ikiwa mechi ya mzunguko wa kwanza.
Lakini wanaingia katika rekodi za msimu kuwa timu ya kwanza kuifunga Yanga msimu huu na kuifanya idondoshe pointi zote tatu kwa mara ya kwanza
0 COMMENTS:
Post a Comment