ANGALIA TASWIRA HIZI, ARSENAL WANAVYOJIDA NA WELBECK WAO, RAHA TUPU MSHAMBULIAJI DANNY WELBECK AMEREJEA UWANJANI NA KUFUNGA BAO MUHIMU SEKUNDE YA MWISHO YA MCHEZO NA KUIWEZESHA ARSENAL KUISHINDA LEICESTER CITY MABAO 2-1. ANGALIA MASHABIKI WA ARSENAL SEHEMU MBALIMBALI DUNIANI WANAVYOJIDAI NA MCHEZAJI HUYO...
0 COMMENTS:
Post a Comment