| MSUVA, PAMOJA NA KUPOTEZA NAFASI NYINGI LAKINI ALIKUWA MOTO LEO... |
Yanga imeshinda mabao 2-0 dhidi ya Cercle de Joachim ya Mauritius. Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo ilikuwa motooo. Cheki picha za actiooooon...
| BAO LA TAMBWE... |
| KASEKE ANAONDOKA... |
| TAMBWE HEWANI.... |
| YANGA |
| CERCLE DE JOACHIM |







0 COMMENTS:
Post a Comment