Hii inaweza kutokea sehemu yoyote, angalia wachezaji hawa Norwich walivyogongana hewani wakati wakiipigania timu yao katika mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Chelsea.
Gary O'Neil na Robbie Brady waliruka kuwania mpira, lengo kuhakikisha wanaing’oa Chelsea, lakini wapi, wakagongana wenyewe. Kila mmoja aliumia na kutibiwa na mwisho wakafungwa kwa mabao 2-1 licha ya kuwa nyumbani. Basi ingekuwa Kenya, ungesema hivi: “Ajali kwa kazi”.











0 COMMENTS:
Post a Comment