JUMATATU YA PASAKA, MAYANJA, SIMBA WAENDELEA KUJIFUA UFUKWENI COCO Vinara wa Ligi Kuu Bara, Simba wameendelea na mazoezi kujiweka sawa licha ya kuwa leo ni sikukuu ya Pasaka, maarufu kama Easter Monday. Kikosi cha Simba kimefanya mazoezi kwenye ufukwe maarufu wa Coco jijini Dar es Salaam chini ya Kocha Mkuu, Jackson Mayanja. Mayanja amesema wanaendelea kujiweka sawa kwa ajili ya Ligi Kuu Bara katika mechi zilizobaki.
0 COMMENTS:
Post a Comment