BAADA YA MATIZI, MANYIKA ANAJIPOZA KIDOGO NA CHAMPIONIIIIIII Kipa wa Vinara wa Ligi Kuu Bara, Simba, Peter Manyika akisoma gazeti namba moja la michezo nchini la Championi mara baada ya mazoezi ya kikosi chake kwenye ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam, leo.
0 COMMENTS:
Post a Comment