MPIRA UMEKWISHA
Dk 85 hadi 90, Yanga wanautawala zaidi mpira wakipiga pasi za hapa na pale kuonyesha wameridhika na idadi waliyopata
Dk 84, African Sports wanapata mkwaju wa adhabu lakini wanashindwa kuutumia baada ya nahodha wao, Ramadhani kupiga shuti juuu ya lango la Yanga
KADI Dk 82, Pato Ngonyani analambwa kadi ya njano kwa kumzuia mchezaji wa African Sports kwa mkono
Dk 79, Barthez anafanya kazi ya ziada kuokoa mpira safi wa adhabu na kuwa kona. Inachongwa lakini haina manufaa
SUB Dk 77, Yanga inamtoa Bossou na nafasi yake inachukuliwa na Paul Nonga
Dk 76, pasi nzuri ya Tambwe inamfikia Kamusoko lakini anashindwa kufunga
GOOOOOO Dk 72 Tambwe anaifungia Yanga bao la tano baada ya kupokea pasi nzuri ya Kamusoko, akaachia shuti kali kabisa na kuandika bao
Dk 65 hadi 68 mpira unachezwa zadi katikati ya uwanja huku Yanga wakionekana kama wameridhika na mabao hayo manne ambayo inaonekana wazi Sports hawana uwezo wa kuyarudisha
SUB Dk 64, Yanga wanamtoa Kaseke nafasi yake inachukuliwa na Salum Telala
GOOOOOOO Dk 59 Simon anaifungia Yanga bao safi kabisa baada ya kuiunganisha krosi nzuri ya Haji Mwinyi
SUB Dk 58 Yanga wanamtoa Ngoma anatolewa na kumuingiza Matheo Simon
Dk 56, Niyonzima anachonga vizuri mkwaju wa faulo, lakini unagonga mwamba na kukokolewa, kona. Inapigwa kona safi lakini Kabaly anafanya kazi ya ziada na kuokoa
KADI Dk 55 Juma Shemvuni wa Sports analambwa kadi ya njano kwa kumuangusha Ngoma kwa makusudi
Dk 53, Sports wanapoteza nafasi nyingine baada ya kosa nzuri lakini wanabutua mpira juuuu
GOOOOOOO Dk 51, Tambwe anaifungia Yanga bao la tatu baada ya pasi nzuri kabisa ya Niyonzima na kipa Kabaly Faraj akafanya kosa
Dk 46, Yanga wanaonekana kuanza kwa kasi, hata hivyo Sports ni watulivu wanaokoa na kucheza pia
MAPUMZIKO
Dk 44, beki Sports anafanya kazi ya ziada kuokoa shuti lililokuwa linajaa wavuni. Inakuwa kona lakini haina manufaa kwa Yanga
Dk 43, Haji Mwinyi anapiga krosi safi kabisa lakini Ngoma anapiga kichwa dhaifu kabisa
GOOOOOO Dk 37 Ngoma anapiga shuti la baiskeli na kuiandikia Yanga bao la pili baada ya kuunganisha krosi safi ya Juma Abdul
Dk 34, Yanga wanafanya shambulizi jingine, lakini kipa Kabaly FAraji wa Sports anakuwa makini.
GOOOOOOOO Dk 32 Yondani anaifungia Yanga bao safi la kwanza baada ya kupiga shuti kali lililomgonga Kamusoko na kuanzika bao la kwanza
Dk 25 hadi 28, bado inaonekana ni mpira unaochezwa katikati ya uwanja zaidi kwa kila upande
Dk 20 hadi 22, Sports wanaonekana kubadilika na kugonga pasi nyingi huku Yanga ndiyo wakitumia muda mwingi kukaba
Dk 19, Sports wanapata kona baada ya beki Bossou wa Yanga kuutoa mpira wakati akiokoa. Wanapiga lakini ni dhaifu kabisa na Barthez anaidaka kwa ulainiiii
Dk 15, Juma Abdul anapata nafasi nzuri kabisa, lakini anashindwa kufunga
Dk 11, Yanga wanapata kona inayochongwa na Niyonzima, lakini Sports wanaokoa kwa ulaini kabisa
Dk 7, Kamusoko anaingia vizuri katikati ya mabeki wa Sports, anapiga shuti lakini linakuwa dhaifu, goal kick
Dk 5, Juma Abdul anachonga krosi safi sana, Ngoma anapiga kichwa, mpira unamgonga beki na kutoka nje. Kona, wanachonga lakini haina matunda
Dk 4, African Sports wanapata kona lakini wanaichonga na inakuwa haina faida
Dk 2, Msuva anaingia na kupiga krosi safi kabisa, Niyonzima anaunganisha na mpira unajaa wavuni. Lakini kabla, mwamuzi alikuwa ameonyoosha kibendera juu.
Mpira ndiyo umeanza, kila timu inaonekana kuanza kujipanga ili kuhakikisha inafanya kweli.

0 COMMENTS:
Post a Comment