Unamkubuka yule mshambuliaji wa Chelsea aliyekuwa mkali halafu Kocha Jose Mourinho akaamua kuachana naye? Anaitwa Andre Schurrle na jana amefanya yake katika Bundesliga baada ya kupiga bao tatu.
Schurrle amepiga hati trick wakati timu yake ya Wolfsburg ikiichapa Hannover 96 kwa mabao 4-0 katika mechi ya Bundesliga iliyotawaliwa na fujo.












0 COMMENTS:
Post a Comment