March 14, 2016Mtoto wa mshambuliaji nyota wa Fenerbahce ya Uturuki, Robin van Persie naye sasa amebandikwa jina jipya.

Wakati van Persie hujulikana kama RVP kwa jina la utani, mwahaye Shaqueel sasa anajulikana SVP.

Mke wa van Persie, Bouchra ndiye aliyetupia picha ya mumewe na mwanaye huyo mwenye umri wa miaka tisa wakiwa katika picha ya pamoja na kumpa jina hilo la SVP.
Lakini muda mchache tu mitandaoni jina hilo limekuwa likisambaa kwa kasi kubwa. 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV