March 29, 2016


Picha ya nahodha wa zamani wa Simba, Hassan Isihaka akiwa amenyoa rasta zake imekuwa gumzo zaidi mitandaoni kuanzia jana.

Picha hiyo kwa mara ya kwanza ilitundikwa na SALEHJEMBE, lakini ikasambaa kwenye mitandao mingi na kuwa gumzo.


Isihaka alikuwa akipasha na kikosi cha Simba, awali alizoeleka kuonekana akiwa na rasta lakini sasa amezinyoa na kubaki na afro.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV