March 30, 2016


Koch Mkuu wa England, Roy Hodgson ana kazi kubwa na ngumu katika uteuzi wa watu 23 wa kikosi chake watakaoshiriki katika michuano ya Euro itakayofanyika nchini Ufaransa.

Tayari mjadala ni mkubwa, mani atakwenda na mani atabaki. Mashabiki na wachambuzi kila mmoja anaamini kivyake.

Utaona ambao wamewekewa alma ya X, kwamba tayari hawana nafasi wakati wale ambao wamewekewa alama ya kiulizo, maana yake hakuna uhakika.

Wakati wake wenye uhakika ambao unaona wamewekewa alama ya pata. 


Hata hivyo, Kocha Hodgson anaweza kugeuza kila kinachotegemewa na kuwa tofauti kabisa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic