Miss Tanzania 2001 na mwenyekiti wa Taasisi ya Millen Magese, Millen Happinnes Magese (kulia) akiwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Kigwangala ambaye alikuwa mgeni rasimi katika semina juu ya ugonjwa wa Endometrosis jijini Dar es Salaam, leo.
|
Waziri Kigwangala |
Jaydee na Jokate walikuwepo... |
Mwanamitindo mkongwe kutoka Tanzania, Tausi Likokola (kulia) alikuwepo pia |
0 COMMENTS:
Post a Comment