April 16, 2016


Kikosi cha Azam FC kimepaa leo kutumia dege la Shirika la Emirates kwenda nchini Tunisia kuwavaa Esperance.

Azam FC inapitia Dubai kwenda kuwavaa Esperance katika mechi ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa jijini Tunis. Katika mechi ya kwanza Azam FC ilishinda kwa mabao 2-1 jijini Dar es Salaam.

Esperance ni timu inayoshika nafasi ya pili kwa wingi wa mashabiki nchini Tunisia baada ya Club African ambayo ni kongwe zaidi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV