April 28, 2016



Gareth Bale, Karim Benzema na Cristiano Ronaldo wanaounda safu ya ushambuliaji ya Real Madrid maarufu kama BBC, wamecheza pamoja kwa asilimia 40 tu.

Katika mechi 47, watatu hao wa BBC wamecheza mechi 19 pekee wakiwa pamoja uwanjani.

Mfano katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Bale pekee ndiye alicheza kwa dakika 90 na Zidane alicheza kipindi cha kwanza na baadaye kupumzishwa.

Kwa upande wake Bale, ameishakosa mechi 16 wakati Benzema naye tayari amekosa mechi 15. Wakati Ronaldo naye alikuwa majeruhi na alikaa jukwaani katika mechi hiyo dhidi ya City wakiwa ugenini.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic