April 16, 2016


Bao pekee la Manchester United lililofungwa na Marcus Rashford dhidi ya Aston Villa, pamoja na kuipa timu hiyo ushindi wa 1-0, lakini rasmi limeitupa daraja la kwanza Aston Villa.


Rashford mwanafunzi wa sekondari alifunga bao hilo katika dakika ya 32 akiunganisha krosi ya chinichini kutoka pembeni mwa uwanja.


Man United imefunga Aston Villa kwa bao 1-0 na kuendelea kujiweka kwenye matumaini ya kuwania nafasi nne za juu katika Ligi Kuu England.

Lakini majonzi yanabaki kwa Villa iliyobaki na pointi 16 tu na mashabiki wake ambao msimu ujao, wanaanza kupambana wakiwa daraja la kwanza kuwania kurejea Ligi Kuu England.


MANCHESTER UNITED (4-2-3-1): De Gea 6; Valencia 7.5, Smalling 6.5, Blind 6, Rojo 6; Schneiderlin 6, Fellaini 6.5; Mata 6 (Fosu-Mensah 89), Rooney 6.5 (Lingard 67 6), Depay 7; Rashford 7 (Martial 76 6)
Subs not used: Young, Romero, McNair, Darmian
Scorer: Rashford 32


ASTON VILLA (4-4-1-1): Guzan 6; Hutton 5.5, Clark 6, Lescott 5.5, Cissokho 5.5; Sinclair 5.5, Bacuna 6, Westwood 6, Richardson 6 (Gestede 82 6.5); Gueye 6; Ayew 6.5
Subs not used: Richards, Sanchez, Gil, Bunn, Lyden, Grealish
Booked: Richardson
Referee: Kevin Friend 6.5
Attendance: 75,411

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV