TASWIRA NNE MAN CITY WALIVYOKWEA TRENI JANA KUWAFUATA CHELSEA DARAJANI Man City leo watakuwa wageni wa Chelsea katika mechi ya Ligi Kuu England na tayari wamewasili jijini London. City wamewasili London kwa kutumia usafiri wa treni ambao waliondoka nao jijini Manchester, jana. Cheki taswira.
0 COMMENTS:
Post a Comment