Mshambuliaji Amissi Tambwe leo alilikalia benchi la Yanga huku ikionekana si jambo la kawaida.
Tambwe ambaye ni mfungaji anaongoza kwa kupachika mabao Yanga akiwa na 18, alikaa benchi wakati Yanga ikiivaa Mtibwa Sugar na kushinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Simon Msuva.
Kwa hali ya kawaida, kimuonekane Tambwe hapendezi kukaa benchi ila katika soka ni jambo la kawaida kabisa.
0 COMMENTS:
Post a Comment