April 7, 2016Hiki ndiyo kikosi cha Pamba ya Mwanza, Wana LIndanda au TP Lindanda wana Kawekamo.  

Timu hii ilikuwa na wachezaji waliokuwa mahiri na kiboko cha Simba, Yanga, Majimaji, Coastal na timu nyingine wakati huo.

Waliochuchumaa Hamza Mponda, Juma Amir Maftah, Rashid Abdallah, George Masatu, Hamis Nyembo, Abdallah Bori na Khalfan Ngassa.

Waliosimama Madata Lubigisa, Ibrahimu Magongo, Fumo Felician, David Mwakalebela, Rajab Risasi, Hamis Seleman, Beya Simba, Ali Bushiri, Hussein Amani Masha na Paul Rwechungura.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV