April 5, 2016


Kocha Antonio Conte amejiunga Chelsea kwa dau la pauni milioni 6.5 lakini Arsene Wenger anachukua pauni milioni 8.5.

Wengine wanaochukua fedha ndefu ni Louis van Gaal anayechukua pauni milioni 7.3 na Pochettino wa Tottenham wa Spurs anachukua pauni milioni 3.5 huku Claudio Ranier ambaye timu yake ya Leicester iliyo kileleni anachukua pauni milioni 1.5.

Kocha wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho alikuwa anachukua pauni milioni 13.2. Lakini  Pep Guardiola ambaye ni kocha mpya wa Manchester City atakuwa anakula mkwanja zaidi kwa kuchukua pauni milioni 15.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV