April 13, 2016


De Bruyne ndiye shujaa baada ya kufunga bao pekee lililoipa Man City ushindi wa bao 1-0 dhidi ya PSG katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Awali, Kun Aguero alikosa penalti baada ya kuangushwa lakini Mbelgiji De Bruyne akarekebisha mambo kwa kufunga bao safi na City imeshinda kwa jumla ya mabao 3-2 baada ya sare ya 2-2 jijini Paris sasa inakwenda nusu fainali.

Manchester City (4-2-3-1): Hart; Sagna, Otamendi, Mangala, Clichy; Fernando, Fernandinho; Navas, Silva (Delph 87'), De Bruyne (Toure 84'), Aguero
Subs not used: Caballero, Iheanacho, Bony, Kolarov, Zabaleta
Goals: De Bruyne 76'
Booked: Fernandinho
Manager: Manuel Pellegrini
Paris Saint Germain (3-5-2): Trapp, Thiago Silva, Marquinhos, Aurier (Pastore 61'); Van der Wiel, Thiago Motta (Lucas 44'), Rabiot, Di Maria, Maxwell; Cavani, Ibrahimovic
Subs not used: Sirigu, Kimpembe, Stambouli, Kurzawa, Ongenda
Goals:
Booked: Trapp, Pastore, Van der Wiel
Manager: Laurent Blanc 
Referee: Carlos Velasco Carballo


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV