Cristiano Ronaldo amepiga hat trick na kusaidia Real Madrid kuitwanga Wolfsburg ya Ujerumani kwa mabao 3-0 katika mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Sasa Real Madrid imesonga hadi nusu fainali na kuondoa hofu ya kutolewa kwa kuwa katika mechi ya kwanza ugenini ilichapwa mabao 2-0.
Real Madrid: Navas 7, Carvajal 8, Pepe 6, Ramos 7K Marcelo 6, Modric 6, Casemiro 6, Kroos 6, Bale 6, Ronaldo 9, Benzema 7
Subs: Casilla, Varane, Rodriguez, Lucas, Jese, Isco, Danilo.
Scorer: Ronaldo, 15, 17, 77
Wolfsburg: Benaglio 6, Vieirinha 6, Naldo 6, Dante 6, RodrÃguez 6, Guilavogui 6, Luiz Gustavo 6, Henrique 6, Draxler 6 (Kruse,30), Arnold 6, Schurle 7
Subs: Casteels, Schafer, Caligiuri, Kruse, Dost, Trasch, Knoche.
Referee: Viktor Kassai (Hungary)
0 COMMENTS:
Post a Comment