April 28, 2016


Kiungo mchezeshaji wa Yanga, Haruna Niyonzima ameweka rekodi.

Niyonzima aliitumikia Yanga jezi yake ikiwa tofauti. Jezi yake pekee haikuwa na nembo ya mdhamini wa Yanga ambaye ni Bia ya Kilimanjaro.

Hii ilikuwa ni katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho wakati Yanga ilipoivaa Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.


Hata hivyo haijajulikana kwa nini hilo lilitokea. Na viongozi wa Yanga wameonekana kukwepa kulizungumzia. Utaona picha hiyo.

2 COMMENTS:

  1. Wewe upo nyuma hadi uchungulie Bin Zubeir kaandika nini halafu ukopi na kupesti!

    ReplyDelete
  2. Mwamuzi jipu, ilikuaje akamuruhusu huyu avae jezi tofauti na wenzake

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic