April 12, 2016


Kiungo nyota wa Yanga, Haruna Niyonzima aliyekuwa akisumbuliwa na malaria, sasa yuko safi.

Angalia mwenyewe picha ya kwanza mara baada ya Niyonzima kurejea na sasa anajifua na wenzake.


Kurejea kwake, kutaongeza nguvu katika safu ya kiungo ya Yanga inayotakiwa kucheza mechi mfululizo zikiwemo za Ligi Kuu Bara na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV