April 12, 2016


Mabingwa wa soka Tanzania, Yanga wameendelea na mazoezi leo kwenye Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.


Mazoezi hayo ya Yanga ni kujiweka safi kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar, Jumamosi baada ya hapo ni safari ya kwenda Misri kuwavaa Al Ahly katika mechi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya sare ya bao 1-1 jijini Dar es Salaam, Jumamosi iliyopita.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic