Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Selestine akiwa ameliinua Kombe atakalopewa bingwa wa Kombe la Shirikisho.
Michuano hiyo inadhaminiwa na Azam Sports HD na timu nne zilizoingia nusu fainali ni Yanga, Azam FC, Coastal Union na Mwadui FC.
RATIBA
Aprili 24:
Mwadui Vs Azam FC
Coastal Vs Yanga
KOMBE BILA SH.NGAPINGAPI?
ReplyDelete