May 8, 2016


Kiungo mkongwe wa Simba, Mwinyi Kazimoto amerejea kikosi leo na Kocha Jackson Mayanja amempa nafasi ya kuanza katika mechi dhidi ya Mwadui FC.

Kazimoto ambaye bado ni Bwana Harusi wa “moto” atapata nafasi ya kuwaongoza vijana dhidi ya Mwadui yenye wakongwe kadhaa waliowahi kucheza Simba na Yanga.


Pia Mayanja ametoa nafasi tena kwa Said Hamisi Ndemla kuanza katika kikosi cha kwanza huku akiendelea kumuamini Said Ndemla.

Kikosi Simba Vs Mwadui FC
1. Vincent Angban
2. Emery Nimuboma
3. Mohammed Tshabalala
4. Juuko Murushid
5. Novart Lufunga
6. Justice  Majabvi (C)
7. Peter Mwaliyanzi
8. Said Ndemla
9. Hamis Kiiza
10. Mwinyi Kazimoto
11. Haji Ugando

Benchi:
1. Peter Manyika
2. Mohammed Fhaki
3. Hassan Isihaka
4. Said Issa
5. Ibrahim Ajibu
6. Mussà Mgosi

7. Brian Majwega

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV