KIKOSI CHA LEICESTER CITY KINACHONOLEWA NA CLAUDIO RANIERI RAIA WA ITALIA, NDIYO MABINGWA WAPYA WA ENGLAND BAADA YA SARE MABAO 2-2 KATI YA TIMU ZA LONDON, CHELSEA NA TOTTENHAM KATIKA GAME ILIYOMALIZIKA HIVI PUNDE IKIWA IMETAWALIWA NA UBABE ILE MBAYA.
0 COMMENTS:
Post a Comment