David de Gea ameteuliwa kuwa mwanasoka bora wa mwaka wa Manchester United aliyeteuliwa na mashabiki wakati beki Chris Smalling ameteuliwa kuwa mwanasoka bora kutoka ndani ya klabu.
Pamoja na De Gea na Smalling kushinda tuzo hiyo ya msimu wa 2015-16, mshambuliaji Anthony Martial ameshinda bao bora la mwaka.
WASHINDI WOTE MANCHESTER UNITED
Mwanasoka Bora wa Mwaka: David de Gea
Mwanasoka Bora wa Mwaka: Chris Smalling
Bao la msimu Vs Liverpool: Anthony Martial v Liverpool
0 COMMENTS:
Post a Comment