May 3, 2016Kinda Marcus Rashford ndiye mwanasoka bora kijana kwa wale walio chini ya umri wa miaka 18 katika klabu ya Manchester United kwa msimu wa 2015-16.

Rashford ameibuka mshindi wa tuzo hiyo huku Cameron Borthwick-Jackson akishinda kwa upande wa vijana chini ya miaka 21.

Mwanasoka Bora wa Mwaka U21: Cameron Borthwick-Jackson 
Mwanasoka Bora wa Mwaka U18: Marcus Rashford 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV