May 10, 2016


Wachezaji Simba wamelipwa mshahara wao ikiwa ni siku moja tu baada ya wachezaji sita wa Simba wa kimataifa waliogoma.

Taarifa kutoka ndani ya Simba imeeleza uongozi huo umelipa mshahara kwa wachezaji wote.

Uongozi wa Simba umewalipa mshahara wachezaji hao waliogoma lakini umewalipa wale walio mjini Songea tayari kuitumikia Simba.

“Kweli ofisi imetoa mshahara kama ambavyo ulivyo utaratibu,” kilieleza chanzo.


“Mshahara ulicheleweshwa kidogo, nafikiri hawakufanya utaratibu sahihi kugoma kwa kuwa kila kitu kilikuwa kwenye utaratibu,” kilieleza chanzo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV