May 10, 2016


Wachezaji sita wa Simba waliogoma, wako njiani wakienda Songea.

Taarifa zinaeleza wachezaji hao wamelipwa mshahara wao wa Aprili. Wachezaji hao walicheleshewa mshahara kwa siku nane tu.

Wachezaji hao walibaki Dar es Salaam wakati Simba ikisafiri kwenda Songea kucheza na Majimaji.


Taarifa zinaeleza wachezaji walio njiani kwenda Songea ni Hamisi Kiiza, Juuko Murshid, Bryan Majegwa, Emiry Nimubona, Vicent Agbani na Justuce Majabvi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV