Manchester United wamezima kelele za kuonekana wamepoteza mvuto baada ya kubeba Kombe la FA.
Wamelibeba baada ya kuitwanga Crystal Palace kwa mabao 2-1 katika mechi ya fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Wembley.
Haikuwa mechi rahisi kwa kila timu na ililazimika kwenda kwa dakika 120, huku Man United wakimaliza dakika 15 za mwisho wakiwa pungufu baada ya beki wake Chris Smalling kulambwa kadi nyekundu iliyotokana na kadi ya pili ya njano.
Mashujaa wa Man United ni Juan Mata na kinda Jesse Lingard aliyemaliza kazi katika dakika 110.
Manchester United: De Gea 7, Valencia 7, Smalling 5, Blind 6, Rojo 6.5 (Darmian 6.5), Carrick 7.5, Mata 7.5 (Lingard 7.5), Fellaini 7, Rooney 8.5, Martial 7, Rashford 8 (Young 6.5)
Subs: Jones, Romero, Ander Herrera, Schneiderlin
Booked: Smalling, Rojo, Mata, Rooney, Fellaini
Scorer: Mata 81'
Crystal Palace: Hennessey 6.5, Ward 7.5, Dann 8 (Mariappa 6.5), Delaney 7.5, Souare 7, Jedinak 7, Cabaye 6 (Puncheon 7.5), Zaha 6.5, McArthur 6, Bolasie 6.5, Wickham 6.5 (Gayle 6.5)
Subs: Speroni, Adebayor, Sako, Kelly
Booked: Dann, Delaney
Scorer: Puncheon 78'
Referee: Mark Clattenburg
Attendance: 88,619
0 COMMENTS:
Post a Comment