May 22, 2016

MGAMBO SHOOTING
Mgambo FC imefanikiwa kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Azam FC, lakini imeteremka daraja hadi daraja la kwanza.

Sare hiyo kwenye Uwanja wa Azam Complex, unaifanya Mgambo kufikisha pointi 28 na kubaki katika nafasi ya 14 katika timu 16 na inakuwa timu ya tatu kuteremka daraja msimu.

Kibaya zaidi, inakuwa ni timu ya tatu kutoka mkoa wa Tanga kuteremka daraja msimu huu.


Au unaweza kusema hivi, timu zote zilizoteremka daraja msimu huu, zinatokea mkoani Tanga.

1 COMMENTS:

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV