May 23, 2016


Coastal Union ndiyo timu iliyomaliza Ligi Kuu Bara ikiwa mkiani.

Unaweza kusema ndiyo timu ya kwanza kuteremka daraja baada ya kumaliza ligi ikiwa na pointi 22 tu baada ya kucheza mechi 30.


Lakini mashabiki wake wameonyesha msisitizo, kwamba hiyo haiondoi mahaba na timu klabu yao baada ya kubandika bango kwenye makao makuu ya klabu hiyo linaloonyesha bado wanaendelea kuipenda.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV